KWANINI HASA NAMBA 13 HUSEMEKANA NI NAMBA YA MKOSI?? NA ILIANZAJE
Fahamu leo KWANINI HASA NAMBA 13 HUSEMEKANA NI NAMBA YA MKOSI?? NA ILIANZAJE Kwanza watu wanaoendekeza kuogopa namba 13 wana kitu kinaitwa triskaidekaphobia yaan waoga wa namba 13 Namba au mkosi wa namba 13 uhusishwa na ukristo kwa maana kwamba namba 13 katika biblia ina maana yake, 1. Mlo wa mwisho wa yesu alikuwa na wanafunzi wake 12 lakin yule wa 13 ambaye hakuwepo ni Yuda aliyemsaliti , kwahiyo inaonekana usaliti wa huyo mtu wa 13 ulipelekea Yesu kuteseka mno,, 2.Katika wathesalonike inaonesha kwamba ishara ya shetani imejitokeza Mara 13 3.Ilithibitika kwamba kuna tabia au sifa 13 za watu wafuasi wa Shetani soma warumi (1:28-32) 3.Siku ya 13 ya mwezi wa kwanza Haman alisaini makubaliano ya kuwa wayaudi wanapaswa kuuwawa siku ya 13 ya mwezi wa 12 (Esther 3:7 - 9). 4.Kuanguswa na kusurubiwa kwa yeriko ilitiwa muhuri na namba 13 5.Mfalme Suleiman alitumia miaka 7 akijenga mnara wa Yerusalemu, lakin cha kushangaza alitumia miaka 13 kwa tabu kujenga nyumbani kwake (1wafalme 6:38). Na (1...